Vunja Mbavu 4.0.9
Poderá descarregar em 5 segundos.
Sobre Vunja Mbavu
Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na família pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Rio Vichekesho Rio Vioja Rio Katuni Rio Makala Simulizi Siasa Rio Jamii Picha Vídeo Inglês: Vunja Mbavu é uma aplicação que permite aos utilizadores pesquisar e ler piadas escritas em língua suaíli. Acreditamos que rir pode ter impacto na vida da felicidade e acreditamos que rir é mais do que medicação para pessoas stressadas. A aplicação Vunja Mbavu tem uma coleção de piadas diferentes que podem fazer qualquer um rir e se divertir. O bom é que. Vunja Mbavu é para todos até piadas de família porque regulamos línguas abusivas e acreditamos que qualquer um pode rir sem ouvir palavras abusivas.